MAMBO HAYA SABA YANAMUUDHI
MPENZI WAKO
1.
Mwanamke akivaa kwa ajili ya kutoka kwenda
kwenye sherehe, kanisani , au mahali popote haupaswi kumuuliza “baby hicho ndo
unachovaa?” au “ baby utavaa nguo hizi?” maswali haya huondoa mudi kabla ya
tukio , Mwanaaume amejaliwa uwezo wa kumfurahisha mwanamke kwahiyo ni bora
kutafuta njia nyingine mbadala ya kumwambia .
2.
Usipende kuuliza kuhusu maisha ya kimapenzi yaliyopita
au usimwambie mpenzi wako kuhusu mpenzi wako aliyopita , binadamu ameumbwa kuwa
mtu mwenye kutaka kufahamu kila kitu kwahiyo jitahidi kutopenda kuongelea mambo
yaliyopita kumbuka YALIYOPITA SI ………..
malizia
3.
Usipende kujiongelea au kuhusu mambo ya kazini
4.
Usimsahihishe mpenzi wako au kumuaibisha mbele
za watu
5.
Usipende kuhisi kila kitu unachoongea mpenzi
wako anakielewa
6.
Usimlinganishe mpenzi wako na mtu mwingine
yoyote hata kama kaka , rafiki wa karibu au ndugu
7.
Usipende kufikiri unachopenda wewe mpenzi wako
anakipenda mpe fursa mpenzi wako kuchagua anachotaka na usiwe mtu wa kumfanyia
maamuzi
No comments:
Post a Comment