TATU
KUBWA ZA LEO
1.
MPATE KUMFAHAMU MWANAMKE
Ni kawaida mwanamke kutekwa kimapenzi na kimawazo na
mwanaume, mwanamke ni kiumbe dhaifu bambcho kinapenda kupewa fursa mbalimbali
kama vile kupendwa , kubembelezwa na kufanywa dunia nzima ajione yuko peke yake
. Mwanamke atatulia kama atahakikishiwas ulinzi katika mapenzi , na mahitaji
yake muhimu , sio vizuri kumfanya mwanamke amwonee wivu mnwanamke mwenzake
kupitia mwanaume wake lahasha kama kiumbe dhaifu lazima naye aoneshe ubabe wake
kwa kutaka kutembea na wanaume wengine
2.
MATENDO SIO MANENO ( WANAUME)
Mwanaume unatakiwa usiwe mtu mwenye maneno
mengi , papara na mtu asiyefanikisha kwa vitendo, kwa kukwepa hayo utamfanya
mwanamke akubali na muwe nao kwenye uhusiano kwa muda mrefu , mwanaume
anatakiwa awe jasiri kama baba wa nyumba kwenye uchumba na hata urafiki nafasi
yake itabaki pale pale bila kuingilia uhuru wa mwanamke
3.
MAMBO MATATU (3) MUHIMU KABLA YA TENDO LA NDOA
1.
Mawazo yako yanaongoza ubongo wako , Ni nlazima
ujifunze kuongoza mawazo yako ili kufanikisha kazi ya ubongo kwa asilimia 100%
kinyume na hayo mwili hautofanya kazi kama unavyotaka . ukiwa na mawazo juu ya
matatizo yalikukuta au ukiwa na stress unaweza ukashindwa kufanya tendo la ndoa
vizuri
2.
Mambo yaliyopita pia yanamfanya mtu ashindwe
kufanya tena tendo la ndoa kwa furaha mfano. Kuwahi kufika kileleni , uume
kushindwa kusimama , msongo wa mawazo
. hivyobasi unatakiwa kujiamini na
kuacha yakale kuwa ya kale
3.
Usafi wa mwili pia unachangia kufanya tendo la
ndoa kuwa levye hisia na kuridhisha, wote tunatakiwa tuwe tumekata nywele za
sehemu za siri , usafi wa nguo za ndani na usafi wa mwili kwa ujumla
No comments:
Post a Comment